Syngenta imejihusisha na azma ya kusaidia wakulima kuongeza uzalishaji wa mazao na kuweka watu, wanyama pori na mazingira salama.
Tunawahimiza wakulima wote ulimwenguni kufuata kanuni zetu 5 za Dhahabu wakati wa kutumia madawa ya Ulinzi wa Mazao na mbegu zilizotibiwa.
Kwa maelezo zaidi tembelea www.pesticidewise.com